|
Your random word is:
Rise (n.) Increase; advance; augmentation, as of price, value, rank, property, fame, and the like.
|
|
|
|
|
|
KILOSA YAKUMBWA NA MAFURIKO |
|

*Mazao, kaya 75 zasambaratika
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
ZAIDI ya kaya 75 katika Tarafa ya Dumila wilayani Kilosa, hawana mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kubomoka baada ya mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa
wiki jana katika Mto Magole.
MAJIRA ilishuhudia baadhi ya familia zikiishi katika viambaza vya nyumba za jirani ambazo zilisalimika na maafuriko hayo katika vijiji vya Magole, Ukamba na Dumila.
Hata hivyo baadhi ya waliionusurika na mafuriko hayo walisema yalitokana na mvua kunyesha katika milima ya Ukaguru na kusababisha mto huo kufurika.
|
|
|
|
|
|
|

NA MWANDISHI WETU
WIZARA ya Fedha imekataa maombi ya wanachuo wanaosomea Stashahada ya Uzamili ya Uhasibu (PGDA), chini ya udhamini wa Serikali katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ya kutaka kulipwa posho kama ilivyoelekezwa na waraka wa Serikali.
|
|
|
|
|
|
SUA LAUNCHES TWO NEW DEGREE COURSES |
|
BY BONVENTURE MTALIMBO, MOROGORO
COUNTRIES in the eastern zone and south of Africa are facing shortage of irrigation engineers and land use management experts.
The chairperson of the Sokoine University of Agriculture (SUA) council Nicolaus Kuhanga told THE EXPRESS this week that the university had launched two degree programmes to meet the demand for agricultural professionals.
|
|
|
|
|
|
SPIKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AFIKISHWA MAHAKAMANI |
|

NA SARAH MOSSI
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Bwana Pandu Ameir Kificho, amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Vuga Zanzibar, akidaiwa kumhamisha mfanyakazi wa Baraza hilo kinyume cha sheria.
Kiongozi huyo wa Baraza alifikishwa katika Mahakama hiyo Desemba 29 mwaka jana.
Mlalamikaji katika shauri hilo, ni Bibi Mwanaisha Ali Said, aliyekuwa mfanyakazi wa Baraza hilo ambaye amehamishiwa Wizara ya Elimu, Utamaduni na Michezo Zanzibar, kwa madai ya kuvujisha siri za Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Katiba, Sheria na Utawala Bora, uhamisho ambao Bibi Mwanaisha hakuridhika nao, akidai umefanywa kwa misingi ya uonevu.
|
|
|
|
|
|
Dira warned against online publishing |
|
 Thursday, December 04, 2003
By Guardian Correspondent, Zanzibar
The Zanzibar government has threatened to take legal action against the editorial board of the banned Dira weekly newspaper if it will attempt to publish the paper on the Internet. Zanzibar Information Services Director Enzi Talib told a news conference here, in response to the Dira Managing Editor, Ali Nabwa´s announcement that the paper would continue to come out through the Internet.
|
|
|
|
|
|
|